Friday, 2 November 2012

NEYMAR AMTUNUKU MESSI TUZO YA DUNIA


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya SANTOS, ametoa dukuduku lake kuhusiana na tuzo ya mwanasoka wa Dunia kati ya Messi, Ronaldo na Iniesta kuwa anayestahili kuchukua tuzo iyo ni Messi japokuwa wote wanacheza mpira mzuri ila kwa Messi imekuwa ni zaidi ya mchezaji mzuri kwa sasa. neymar pia amesema kuwa anatamani kucheza na messi timu moja siku moja ili aweze kutimiza ndoto zake na kama itashindika basi ata kucheza nae ata mazoezi.

No comments: