Wednesday, 24 October 2012

PICHA NYINGINE ZA RAYUU AKIWA UTUPU ZANASWA LIVE


WIKI kadhaa baada ya MBONGO MMOVIE RAYUU kupiga picha zake za zinzomuonesha akiwa tupu sehem kubwa ya mwili wake akionesha tatoo ambazo zipo sehemu ya nyuma ya mwili wake, amenaswa tena akiwa amehusika katika kupiga picha za utupu uku akionesha kuwa katika hali ya furaha kwa kitendo iko bila ya wasiwasi wowote wakati wa uchukuaji wa picha izo,
wadau wa filamu nchini wametoa mawazo tofauti kuwa RAYUU anatafuta umaarufu ili aweze kutengeneza jina kama ilivyo kwa akina AUNTY EZEKIEL na WEMA kwa kufanya vitendo vya ajabu mbele ya jamii.

2 comments:

Anonymous said...

hahhahahha hawa wasanii wana mambo sana

fadhil 60 said...

tuwape pole sababu amna wanachoweza kufanya zaidi ya kutengeneza jina kwa matukio machafu