Friday, 2 November 2012

GARI YA JACK WOLPER YACHOMWA MOTO NYUMBANI KWAKE

Mwanadada ambaye ametoka kuchukua tuzo ya the ijumaa sexiest woman siku chache zilizopita amelalamikia kwa kitendo cha watu wasio na upendo kwake kwa kumchomea gari lake moto kwa makusudi ili wapate kile wanachokihitaji, akitoa taarifa iyo kupitia blog page yake Wolper amesema ilo ni tukio la watu wasio na imani kwake kwani kwa upande wake hana ugomvi na mtu yoyote
 
 

 
Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani. Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani niko salama”


No comments: