Mwanamuziki kutoka katika familia ya Tanzania House of Talent "Amini Mwinyimkuu" a.k.a nduli amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa sasa baada ya kutengana na yule wa awali linah, tukio hilo lililochukua nafasi yake siku yake ya kuzaliwa ambapo kulikuwa na tafrija ndogo kuwa kusherehekea siku iyo, Amini ambayealionekana akiwa katika hali ya upole na unyenyekevu aliweza kupiga magoti na kumvisha pete iyo mbele ya kadamnasi ya watu waliohudhuria tafrija iyo,
mungu mpariki Amini, Mungu bariki penzi lake,
source; kajunason
No comments:
Post a Comment