Thursday, 1 November 2012

"UTAMU" YA DULLY SYKES, DIMPOZ n DIAMOND KUACHIWA RASMI LEO



 New HIT kutoka 4.12 kwa Dully Sykes the super producer,
Ngoma mpya iliyopikwa kwa muda mrefu Chini ya Studio 4.12 inaachiwa rasmi tarehe 1 November. Ngoma inaitwa UTAMU, humo ndani kang’arisha Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz na mimi mwenye Baba ya muziki, Mastering imefanyika chini ya Dully Sykes na Marco Chali. Mengi mazuri yanakuja, Keep it locked!!


No comments: