Monday, 5 November 2012

HUYU NDIO REDS MISS TANZANIA 2012/2013

Hapa miss tanzania akiwa na tabasamu la furaha baada ya kutangazwa mshindi wa shindano ilo

Brigitte Alfred akiwa na furaha baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndiye mshindi wa miss Tanzania 2012 jana katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati)katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester, Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya kinondoni.

mshindi wa mwaka jana 2011 akiwa na mshindi wa mwaka huu

Taji Liundi pamoja na Jokate Kidoti walikuwa washereheshaji wa shughuli nzima ya miss tanzania hongera kwao




Diamond on stage,,

No comments: