Wednesday, 7 November 2012

ANGALIA PICHA 9 ZA MWIZI ALIENGIA MIKONONI MWA WAKAZI WA TEMEKE NA KUAMBULIA KUCHOMWA MOTO KWA KUVISHWA MATAIRI MAWILI NA PETROLI DUMU ZIMA.



                                                    HAPA ALIKUWA BADO ANAUNGUA



                             BADO ALIKUWA KATIKATI YA TAIRI LILILOJAA PETROLI

                                                            MOTO ULIPOANZA KUKATA


DEFENDER YA POLISI IKATOKEA KUJA KUCHUKUA MZOGA WAO KWA AJILI YA KWENDA KUIHIFADHI
 
 
MWILI ULIPAKIZWA KWENYE DEFENDER TAYARI KWA KUONDOLEWA ENEO LA TUKIO
 
ANGALIA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANADAMU PINDI ZINAPOKUTANA NA AJALI YA MOTO

                                 HII NI SEHEMU YA JUU YA MWILI WA DINADAMU

Katika hali ya kusikitisha wananchi wa maeneo ya mtoni kwa aziz ally wameendelea na kawaida ya kujichukulia hatua mkononi mara baada ya kumchoma moto mtu anayesadikiwa kuwa ni mwizi, tukio hilo lilitokea majira ya saa 10 alfajiri ambapo mwizi huyo anaesadikiwa aliiiba nguo kwa wenyeji wa maeneo hayo alijikuta katika wakati mgumu baaada ya kunasa katika mikono ya wakazi wa maeneo hayo na kumuonesha kuwa maswala ya wizi wamemchosha na kufikia kumchoma moto kwa kumuunga katika matairi mawili makubwa ya gari kubwa na kumwagia petroli iliyokuwa tayari imeandaliwa kwa kazi iyo, ilikuwa ni maeneo karibu na kituo kipya cha treni ya mwendo kasi na mbele ya msikiti wa mbuyuni ndipo tukio lilipochukua nafasi na ilichukua dk 10 tu mwizi huyu kuaga dunia na kucha kupukutika,

 

No comments: