Thursday, 25 October 2012

STL, STELA MWANGI AONESHA UMAHIRI WAKE WA NYIMBO NA JINSI ANAVYOTENGENEZA

Mkali wa ku rap kutoka kenya ambaye ndo inasemekana ndio mwanamke mpekee mwenye uwezo mkubwa wa kurap kwa africa mashariki na kati STELA MWANGI ameonesha jinsi gani yupo makini na kazi zake baada ya kutambulisha studio yake ambayo ipo ndani kwake mwenyewe ndo huwa anafanya izo kazi akiwa ndani katika kuandaa nyimbo zake mpaka zinakamilika.
STELLA a.k.a STL ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya shut up down iliyo katika kiwango kikubwa amesema pia ubora wa kazi zake unatokana na yeye mwenyewe kuwa katika hali nzuri ya kuamua nini anafanya kabla ya kupeleka ili isikilizwe na watu wengine.

No comments: