Thursday, 25 October 2012

NYUMBA YA KATIBU WA BAKWATA YAUNGUA MOTO

 Katibu wa bakwata mkoa wa ARUSHA  amelazwa katika hospitali ya MOUNT MERU  baada ya kujeruhiwa kufuatia nyumba yake kuungua moto ikisadikiwa kuungua kwa BOMU lilitotegwa ndani ya nyumba yake usiku wa kuamkia leo

No comments: