Thursday, 25 October 2012

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA JANETH JACKSON BAADA YA KUBADILI DINI ILI AOLEWE






Kama ulikuwa aujapta habari hii basi chukua kutoka hapa, mwanadada JANETH JACKSON ambaye ni dada wa marehem MICHAEL JACKSON amekuwa katika mahusiano na kijaja tajiri wa kiarabu kwa miaka miwili sasa ambaye baada ya kumtangazia ndoa basi mwanadada huyo ameamua kuingia katika dini husika ya kijana huyo ili apate iyo ndoa, kijana uyo anayetambulika kama WISAN AL MANA amepitwa miaka 10 na mwadada huyo, harusi yao imepangwa kufanyika mwaka 2013 na itagharamia pesa za kigeni zipatazo $50millioni

No comments: