Thursday, 25 October 2012

BAADA YA AUNTY, RAYUU na WEMA SEPETU SASA SHILOLE PIA AANIKA NYETI ZAKE HADHARANI


Huyu ndo ZUWEMA MOHAMED a.k.a SHILOLE ambaye baada ya wenzake kuonesha nyeti zao nae aamua kuanika za kwake hadharani ili kuonesha kama nae ameumbika, picha za shilole kama zinavyoonekana hapo juu shilole anaonekana akiwana onesha nguo ya ndani bila wasi wasi wowote akiwa jukwaani, hii sasa imekuwa tabia ya kudumu kwa wanawake wa bongo movie kwani wote wanapitia njia moja ili kuoneasha jinsi gani maadili yamepotea

No comments: