Thursday, 18 October 2012

SIKILIZA A.Y NA CPWAA KATIKA TUZO ZA CHANNEL O

TUMIA MUDA HUU KWA KUMSIKILIZA A.Y NA CPWAA KATIKA...:

Ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika game la muziki hapa Tzee hata nje ya Tzee huyu si mwingine ni A.Y msanii huyu tunafahamu kwamba mwaka huu ametajwa katika kuwania tuzo za Channel O Music Video awards.Sasa basi hapo chini kuna video ambazo A.Y pamoja na Cpwa wanatiririka katika kuwania tuzo hizo ebu wasikilizee na wanahitaji support yako...

No comments: