Thursday, 18 October 2012

SINTAH AZUA TAFRANI BAADA YA KUHUSIKA KATIKA KUTETEA USHOGA HADHARANI

Msanii wa filamu ambaye kwa sasa amajikita katika utangazaji pia amezua tafrani baada ya kuonekana akiunga mkono harakati za mashoga mbele ya jamii, tukio ilo lililotokea katika sherehe moja inayohusisha watu wa jinsia moja kuwa SINTAH alionekana kuunga mkono kwa ushoga kwani kulikuwepo kwa shoga mashuhuri AUNT LEILA mbaye walikuwa wakimshangilia kwa kuwepo katika tafrija hiyo

No comments: