Thursday, 18 October 2012

NEY AUNGANA NA CHIBWA KUFANYA MAANGAMIZI

Najua kuna ile time utakuwa unajiuliza daaah!!!! hivi Nay wa mitego kwanini anapenda sana kuponda wasanii wenzake katika ngoma zake.Sasa basi Nay alifunguka na kusema kwamba sio kama anaponda wasanii wenzake ila nyimbo zake zinasema ukweli na uwazi jinsi wasanii wa hapa Tzee wanavyojihusisha na vitu ambavyo sio vizuri katika jamii.Baada ya kutoa sababu hiyo msanii huyu alifunguka na kusema

No comments: