Mbali na kufanya Muziki Mike Tee nimeamua kujiingiza kwenye
Mavazi, Kiafrika Zaidi
kama utapendezewa only for 20,000 tshs utapata T-Shirt
uipendayo
Ukiipenda aina mojawapo kati ya hizo
Nitumie Information zifuatazo ili upate T-Shirt yako
1. Jina
2. Sehemu uliopo,
Ili iwe rahisi kwa watu wa Dar kuletewa mzigo
sehemu uliopo, watu wa Mikoani gharama za usafirishaji utatozwa
3. Namba ya simu
4. Size ya T-Shirt
5. Rangi
6. Aina kwenye picture
Twitter @Mike_Tee
Instagram @Mnyalu1
Hulkshare Mnyalu1
+255 754 310 202
No comments:
Post a Comment