Thursday, 23 January 2014

WHEN MESSI ASSIST, OTHERS SCORE HAT TRICK...... Tello done

Timu ya Fc Barcelona usiku wa kuamkia leo iliinyuka Levante goli 4 kwa moja katika Copa del rey hvo kujieka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele, Tukikumbuka Levante iliwabania barca kwny ligi takribani wiki moja iliopita na kuilazimisha miamba hiyo ya Catalan 1-1. Shukrani za pekee zimuendee chipukizi Cristian Tello alepiga hat trick huku goli la kwanza wakijifunga wenyewe.



Goal: Nabil El Zhar (LEV) 31'; Juanfran (LEV) 53' OG; Cristian Tello (FCB) 60', 81', 86' 
Levante: Jimenez (GK); Karabelas, Vyntra, Juanfran, Nagore; Xumetra (Rios 62'), Sergio, Camarasa, El Adoua; El Zhar (Nong 77', Barral (Angel 72')     
Barcelona: Pinto (GK); Alves, Puyol (Mascherano 57'), Bartra, Adriano; Xavi, Song, Sergi Roberto; Pedro (Sanchez 77'), Messi, TellO
Pamoja na kutofunga lionel Messi alionesha umaridadi mkubwa sana katika kufanya assist tena za akili nyingi sana na kumsaidia kijana mwenye kasi uwanjani Tello kuscore goli tatu na kuondoka na mpira


No comments: