Have a time
MAFUVU BARBER SHOP ipo mtoni kwa aziz ally opposite na ilipokuwa ofisi ya tigo ya mtoni, pata muda wa kupita hapo na kupata huduma bora zaidi kwa kiwango cha juu kutoka kwa wahudumu waliobobea na kazi za usafi wa nywele na mwili kwa ujumla kwa bei nafuu zaidi, MAFUVU BARBER SHOP ndo saloon ya kwanza kuwa na ubora wakimataifa ndani ya wilaya ya temeke ikiwa na vifaa vya kisasa vyenye ubora uliothibitishwa na shirika la viwango TBS,
kama kweli wewe ni mshabiki wa kweli wa DJ AD a.k.a MAFUVU, shabiki wa kweli wa muziki wa kizazi kipya na mwananchi mpenda maendeleo basi fika MAFUVU BARBER SHOP kwa kupata huduma bora zaidi
call; 0717674566
No comments:
Post a Comment