Wednesday, 29 May 2013

THE FINEST YA MWANA FA YAAHIRISHWA - DEATH OF MANGWAIR



FA ameahirisha show ya THE FINEST  yake iliyokuwa ifanyike ijumaa hii kwasababu ya kifo cha msanii Albert Mangwair kilichotokea jana nchini south africa alipoenda kwa ajili ya kazizake za muziki

No comments: