Wednesday, 29 May 2013

HOME SWEET HOME YA IZZO PIA YAAHIRISHWA - DEATH OF MANGWAIR

IZZO ameahirisha show ya HOME SWEET HOME yake iliyokuwa ifanyike ijumaa hii kwasababu ya kifo cha msanii Albert Mangwair kilichotokea jana nchini south africa alipoenda kwa ajili ya kazizake za muziki

No comments: