Wednesday, 17 October 2012

WEMA SEPETU AOMBA MSAMAHA KWA KUKAA UCHI STEJINI

Wema Sepetu azungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari maelezo jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma.

No comments: