Thursday, 18 October 2012

JUX AFANYA TRACK MPYA AKIWA CHINA

Chiep Rocka (kulia)producer (kati) Jux vuitton (kushoto) Tunafahamu kwamba mtu mzima Jux yupo nchini China sasa habari ambayo tumeipata ni kwamba siku za hivi karibuni mtu mzima Jux aliamua kutimba pande za studio na kufanya ngoma mpya na mtu mzima Chieph Rocka.Hapo chini ni baadhi za picha ambazo Jux yuko studio aki record pini jipya baada ya kumaliza ku record...

No comments: