Friday, 19 October 2012

USHAHIDI WA PICHA ZA HARUSI YA AUNTY EZEKIEL

Movie star wa bongo Aunt Ezekiel.


Aunty akiweka saini katika cheti cha ndoa
 
 
mashisti nao hawakumuacha nyuma
 
Mkali wa BONGO MOVIE Aunty Ezekiel ambaye kwa sasa amebadili jina kuitwa RAHMA tayari amevunja ukimya kwa kuweka hadharani ndoa yake ikiwa katika uhalali wote na ushahidi wa picha za harusi yake akiwa katika furaha ya kipekee kwani ndo ni jambo jema kwa kila mwanadamu.
 
MUNGU BARIKI NDOA YA AUNTY 'RAHMA'

No comments: