Wednesday, 17 October 2012

AM RECORD YAMLUDISHA DARASA UPYA ILI KURUHUSU MOVIE YA SIKATI TAMAA KUINGIA SOKONI

Nishike mkono ndio single mpya ya mzee wa sikati tamaa Rapper Darasa Feat Winnie  ambayo itaanza kusikika kuanzia kesho kupitia Clouds Fm, EXCLUSIVELY unaweza kuiskiliza na kuidowload  hapa. pini limetengenezwa na Gard pamoja na Manek kupitia AM Records. nimeongea na darasa kwa ajili yako na hivi ndivyo alivyotiririka"Plan zangu ni kutimiza moja kati ya ndoto zangu, ambayo ni kuwa na album

No comments: