Wednesday, 17 October 2012

ABDUL KIBA ON NEW HIT "DUNIA MAPITO"

Msanii anaekuja kwa kasi akiwa ametokea katika familia ya music na mdogo wa msanii mkubwa wa bongo fleva ALIKIBA yupo katika hatua za mwisho kuachi nyimbo yake mpya ya dunia mapito itakayokuwa hewani mwishoni mwa wiki hii, akiongea na the 60th blog kuwa anaamini nyimbo hiyo itamfanya aludi kwa kasi ya ajabu kwani ni nyimbo yenye maana kubwa sana kwa jamii na anaamini atafanya vizuri kwa sasa

No comments: