Friday, 4 April 2014

COCOA na CHOCOLATE - WHEN AFRICAN SUPERSTARS COME TOGETHER WITH 10 LANGUAGES AS ONE



Hii ni nyimbo iliyowakutanisha zaidi ya wanamuziki 10 kutoka nchi mbalimbali barani africa, ikihusisha lugha zaidi ya 10 kutoka kwa wasanii hao, AY & DIAMOND ndo walioshika jahazi la TANZANIA na kuwakilisha kishwahili fasaha uku DIAMOND akichangaza lugha ya kingamuzi kidogo na kufanya muziki kuwa muziki, d banj mefanya yake na wakali kibao, cocoa and chocolate imetoa sura mpya kuwa sasa waafrika tunaweza kukaa pamoja na kufanya kitu fulani

song; COCOA & CHOCOLATE

No comments: