Friday, 4 April 2014

VIDEO - TIMBWILI LA WEMA SEPETU - WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!




Wema Isaac Sepetu aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers.Alifika kwenye ofisi hizo mitaa ya Bamaga-Mwenge, Dar-es-Salaam na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kile kinachodaiwa kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul ‘Diamond’

No comments: