Friday, 4 April 2014

CHUNA BUZI - OFFICIAL VIDEO HUU NDO UTAMADUNI WA BASATA AU KUWAAMSHA BASATA



Wakati basati wakiendelea na swala lao la kusimamia utamaduni na maadili ya kitanzania kwenye video za wasanii wetu, leo tunaona shishi baby, shilole wa igunga akiendelea kuwaamsha basata kuwa bado yupo vizuri na ataendelea kufanya video za kikubwa zaidi lakini je maadili yamefuatwa kwenye HII video,


nyimbo; chunza buzi
mwimbaji; shilole
mtengenezaji video; nisher
mtengenezaji audio; mazuu

No comments: