Rick Ross apata fundisho juu ya ubakaji na pesa....
ukikumbatia kimoja unakosa kingine...kwasababu sasa hivi Reebok wamemtema Ricky Ross
kama unakumbuka niliripoti wiki moja iliyopita kuhusu majaribu
aliyoyapata Ross kutokana na wimbo wake U.O.E.N.O, ambao
kwa furaha zote amesikika akisema "Put Molly [Ecstasy] all in
the champagne. She ain't even know it. I took her home and I
enjoy that. She ain't even know it." Tafsiri yake -- ubakaji. ingia
hapa kama ulikosa kusoma
http://djfetty.blogspot.com/2013/04/yaliyomkuta-bonta-
yamemkuta-ricky-ross.html
Reebok imezungumza na TMZ na kusema...."Reebok inashikilia
Reebok imezungumza na TMZ na kusema...."Reebok inashikilia
washirika wetu kwa hali na dhamani ya juu, na sisi tuntarajia wao
kuishi kwa mujibu wa maadili ya bidhaa zetu. Kwa bahati mbaya,
Rick Ross ameshindwa kufanya hivyo. '


No comments:
Post a Comment