Tuesday, 5 February 2013

WASANII WANATUMIA MUDA MWINGI KUTENGENEZA COVER PHOTO ZA NYIMBO KULIKO UBORA WA NYIMBO WANAZOTOA









Wadau wa music wa bongo fleva wameanza kutoa maoni tofauti kuhusu tabia na mwenendo wao wa kutumia mda mwingi kutengeneza cover photo za nyimbo zao kuliko kuzingatia ubora wa nyimbo , kuanzia katikati mwa mwaka jana wasanii wa bongo fleva wamekuwa na utamaduni wa kutengeneza cover photo kwa ajili ya utambulisho wa nyimbo zao kuliko kutumia muda huo kutengeneza nyimbo bora zilizo katika kiwango kinachohitajika na mashabiki

No comments: