Big brother amplified,Millicent Mugadi,Mwanadada Mrembo na Mzuri kwenye Tasnia
ya Uigizaji Nchini kenya Ameshinda Kinyang'anyiro cha ugombeaji uchaguzi
unaoendelea Nchini Kenya....!!Mill,Mlimbwede amabae ni mwanamke pekee anaefanya jitihada kubwa kabisakugombea Ubunge katika jimbo nchini kenya kupitia chama cha TNA
Kinachoongozwa na Nguli wa Siasa Nchini Kenya Uhuru Kenyata
akizungumza Millicent 'Sikujua kama uigizaji wangu wa Filamu
kipindi chote kama Ningeweza kumudu Siasa....kiukweli ni jambo ambalo
nimeamua na niko tayari kwa mapambano kuelekea uchaguzi mkuu
tarehe 4/3/2013.........
"Nimekuwa nikipata changamoto kubwa tokea nimejikita kwenye
siasa lakini afrika inabidi tubadilike tuwape wanawake nafasi...,
ambao wamejikita kwenye maendeleo ya jamii na si siasa pekee yake..!!
Pia Millicent aliendelea kusema "Mimi ni Mnyenyekevu sana
na nafurahi kuona support nayopata kutoka kwa wananchi na mi
nawahaidi kufanya makubwa katika kipindi ntakachokuwa bungen
Thank you for taking your time to find out more about the blog. This blog is your number one event, sports, advertisement and entertainment news. Welcome to an Entertainment revolution. Advertisement gate way and promotion as well, STAY ON IT ENJOY CALL / SMS +255 686 123425 for more information and any blog assistance
Wednesday, 6 February 2013
MILLICENTE MUGADI WA BBA AMPLIFIED ASHINDA TIKETI YA KUGOMBEA UBUNGE KENYA
An Entertainer and the Owner of 60Entertainment who is near by to present TV program on local TV, Current am working with One of the Biggest company
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment