Thank you for taking your time to find out more about the blog. This blog is your number one event, sports, advertisement and entertainment news. Welcome to an Entertainment revolution. Advertisement gate way and promotion as well, STAY ON IT ENJOY CALL / SMS +255 686 123425 for more information and any blog assistance
Tuesday, 5 February 2013
SOMA ALICHOSEMA FID Q NGOSHA KUHUSU THE BEST HIP HOP SHOW IN AFRICA FID STYLE FRIDAY KWA MWAKA 2013
Rapper Fid Q amekaririwa na sammisago.com akizungumzia mambo matatu ambayo ni Likizo ya Kipindi cha Fid Style Friday, Mafanikio, Mabadiliko na Maendeleo ya Fid Style Friday , Kipindi Kipya Cha Wake Up With An Empty Fridge.
Kuhusu Fid Style Friday fid amesema kipindi kinaenda likizo mwezi wote wa pili na mwezi wa tatu kitarudi tena .Kwenye Ujio mpya Fid style Friday itaanza kusafiri sehemu tofauti ilikuthibitisha msemo wakuwa Fid Style Friday Is the Biggest Hiphop Show In Africa so show itaonyesha wasanii kutoka sehemu tofauti .Wasanii kutoka nje ya Tanzania wataonekana kwenye kipindi. Fid Style Friday imekuwa na mafanikio tofauti toka imeanza, rappers kutoka Tanzania wamejenga fan base nje na ndani ya Tanzania Kwasababu kipindi kinaonekana kwenye Tv na Pia kwenye mtandao Dunia nzima Kupitia cheusidawatv ,Pia WaTanzania nje ya nchi wanapata misemo mipya ya Hiphop wakiwa Mbali na Tanzania, Wasanii wa Hiphop waliokuwa hawajulikani wametambulishwa kwenye kipindi na kupata nafasi kwenye game.
Kuhusu hii UnReality tv Show Fid Q amesema ni Ubunifu wake alioupata baada ya Kuamka asubuhi na Fridge tupu, Yani Fridge isiyokuwa na kitu Chochote. Kitu kama hichi kinatokea kama unamambo mengi. Unajikuta wiki nzima umekuwa na shighuli nyingi na hujapata nafasi ya kununua chochote ,wageni wengi nyumbani na mambo mengine kama hayo. Watu wakae tayari kwa kipindi tofauti kabisa.
An Entertainer and the Owner of 60Entertainment who is near by to present TV program on local TV, Current am working with One of the Biggest company
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment