Tuesday, 21 October 2014

TAARIFA YA KIFO CHA MSANII Y.P KUTOKA WANAUME TMK FAMILY


aliyekua msanii wa kikundi cha muziki wa bongo fleva YESSAYA maarufu kama YP anefariki dunia mapema leo kutokana na maradhi ya ugonjwa uliokua unamsumbua kwa muda mrefu wa kifua kikuu
amezungumza meneja wa kundi hilo Said Fella ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 Msiba upo nyumbani kwa baba yake YP maeneo ya KEKO TEMEKE


No comments: