Wednesday, 29 October 2014

CHIDI BENZI HATIMAE ACHIWA KWA DHAMANA

Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na kurejea uraiani. Anatakiwa kufika mahakamani Novemba 11 ambapo kesi yake itatajwa tena
HID BENZI alikamatwa wiki iliyopita kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya pamoja na bangi alipokuwa akielekea mbeya kwenye shughuli zake za muziki, tukio hilo lililotokea katika uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere dar es salaam

No comments: