Monday, 23 December 2013

ALIKIBA AMEMAANISHA na SIO KUJIONESHA...


Alikiba alipokuwa anajibu swali kutoka kwa washabiki wake alijibu kile alichoamaanisha na sio kujionesha kama wapenzi wa upande wa pili wanavyochukulia, akuna kuficha ukweli kwenye dunia ilikuwa wazi kwa kila jambo, ushirikiano katika maswala ya muziki kati ya alikiba na diamond basi ni sawa na kupiga deki bahari kwani kitu ambacho akiwezekani kwa sasa, na kama itatokea bahari kupigwa deki basi alikiba atafanya kumshirikisha au kushirikishwa na diamond katika kazi zake zijazo za muziki lakini kwa sasa aiwezekani... heri ya kiba anaesema ukweli uliopo kuliko kuongea kile kilichopo angekificha na kukosa ukweli..

 halla to kiba

No comments: