Wednesday, 2 January 2013

SASA WASHABIKI WAMCHOKA DIAMOND MOJA KWA MOJA NA KUAMUA KUMZOMEA NDANI YA MAISHA CLUB





ILIKUWA NDO KWANZA SIKU YA KWANZA KWA MWAKA 2013 NA MSANII WA BONGO FLEVA NASEEB ABDUL A.K.A DIAMOND PLATNUM ALIKUWA NDO MSANII WA KWANZA KUPIGA SHOW KATIKA CLUB IYO NA SHOW YAKE KUINGIA DOSARI BAADA YA WASHABIKI KUOBNESHA HADHARANI KUWA WAMECHOKA NA MFUMO WAKE WA SHOW KWANI AONESHI MABADILIKO YOYOTE MBELE YAO TANGU ALIPOANZA KUPIGA SHOW NA LAWAMA KUBWA ZIKIWADONDOKEA WATOTO WA KARIAKOO AMBAO NDIO MASHUHURI KWA KAZI YA KUSHANGILIA KATIKA SHOW ZA WASANII
DIAMOND  ALIANZA KUZOMEWA MARA BAADA YA KUPANDA JUKWAANI NA HALI ILIBADILIKA MUDA UNAVYOZIDI KWENDA MBELE NA KUSABABISHA FUJO KUCHUKUA NAFASI YAKE

No comments: