Saturday, 15 December 2012

OMMY DIMPOZ KUTUMIA GHARAMA KUBWA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA ME & U





Ommy dimpoz ametoa taarifa fupi kwa washabiki wake kuwa video ya nyimbo yake mpya ya ME & U itakuwa hewani mapema january mwakani ikiwa bkiwango cha hali ya juu ili ifikie kiwango cha kimataifa na kupata airplay kubwa katika station kubwa za TV kama MTV na CHANEL O, katika wimbo huo ambao ameshirikishwa V a.ka VADESA MDEE

No comments: