Friday, 14 December 2012

MASHAIRI YA NYIMBO MPYA YA ABDU KIBA ft ALIIKIBA - KIDELA




Muuogope mungu. {kidela}.
Dunian mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa saaanaaaaa

Muuogope mungu. {kidela}.
Duniaa mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa saaanaaaaa

Azootooo Azootooo Azootooo
Azootooo Azootooo Azootooo

Teenda wema uwendeezakooo usingoje malipoo

hii dunia sio yako woooo woooo.
{kidela}. kuishiii nawe. miakaa.
yoote sisi kama ndugu zaaako
ukaiaibishaaaa nafsi yakoo woooo wooo.
{Kidelaa}. binadam aonekan mwema paka wemaa
wayasemeee memaa
kutulipa yakoo memaaa uliosemaaaa kwetu si memaaa
kutusemaa kila koona unayookwenda sisi si wemaaaa.
Kuishii nawe miakaa yootee tulichovuna nawe ulivunaa hii.
Dunia si mbayaa.
{kidela} walimwengu.
ndio wabaya.
{kidela} hii. Dunia si mbaya
{kidela}. Binadam.
Wabayaaaaaaa.
Muuogope mungu. {kidela}.
Dunian mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa saaanaaaaa

Muuogope mungu. {kidela}.
Duniaa mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa saaanaaaaa

Azootooo Azootooo Azootooo
Azootooo Azootooo Azootooo

Jeuuriii. Ya nini. Soteee tuko chini ya juaaaa.
Ubabe wa nini ata wepia umezaliwaaa.
Ungejizaaa mwenyewe. Apo sure.
Kijana chungaaa saaanaaa.
Kamaaa we Mnyama. me.
Mnyama pia. Zaaa wako.
Umpangiee. sheriaa. Binadam. Aonekan mwema paaka weema.
Wayasemee mema. Kutulipa yako. Memaa uliofanyaa. kwetu.
Si memaaa. Kuiishiiiii. Nawee. Miakaa yootee.
Tulichovuna. Nawee ulivunaaa.
Hii. Dunia. Si mbayaa. {Kidelaa}. Binadamu wabayaaa {kidelaaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguu wabayaaaaaaaaa

Muuogope mungu. {kidela}.
Dunian mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa saaanaaaaa

Muuogope mungu. {kidela}.
Duniaa mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa saaanaaaaa

Azootooo Azootooo Azootooo
Azootooo Azootooo Azootooo

Wangapi walikuwepoo. Atunaooo. Atunaoooo tenaaaa.
Duniaa mapitoo mapitooo woo woo woo.
Dunia yakoo ya moyoniii. Heyyyyy.
Bebeyy eeeeh mapitooo woo woo.
Dunia ya mollah aaaayeeeeee.
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu. {Kidelaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu wabayaaaaaa. Mamaaa key.
Hii. Duniaaaa yawenywwa mwenyeweee. Si ya.
Mtu furan labda furan.
Duniaa duniaa mapitoooo.
Duniaa si mbayaa walimwenguu wabayaa.
Inauma sana kumizwaaa mtimaa.
Inaniumaaa sanaaa.
Kujuaa binadamuu waleooo wanavyoishiiii.
Inaumaa sana kubainii utuu.
Chungaa sana single long single noumoo.
{Kidelaaaa





No comments: