Monday, 22 October 2012

KAMA ULIKUWA HAUMJUI SHEIKH PONDA ISSA PONDA BASI MUANGALIE HAPA




      KATIBU WA JUMUIYA YA TAASIS ZA KIISLAMU  NCHINI TANZANIA BASI NDIO HUYU,  NAJUA WATU WENGI WALIKUWA HAWAMFAHAMU MTU HUYU AMBAYE HARAKATI ZAKE KUTETEA UISLAMU ZIMEKUWA ZIKIMLETEA SIFA NZURI NA MBAYA KWA PANDE TOFAUTI NA KUSABABISHA VURUGU KUBWA SANA, KAMA UNGEPATA BAHATI YA KUONANA NAE BASI USINGEWEZA KUNTAMBUA HUYU MTU, ILA SASA UMEPATA WAKATI MZURI WA KUMFAHAMU PONDA ISSA PONDA AMBAYE AMEFIKISHWA MAHAKAMANI AKIWA NA WAFUASI WAKE ZAIDI YA 35 KWA TUHUMA MBALIMBALI

No comments: