Thursday, 3 January 2013

MWILI WA SAJUKI WAAMISHWA MAKAZI KUTOKA MUHIMBILI KWENDA MSIKITINI

Mwili wa aliekuwa msanii wa filamu hapa tanzania juma issa juma kilowoko maarufu kama sajuki umeondolewa katika sehem ya kuhifadhia maiti hospitali ya muhimbili na kupelekwa katika msikiti wa shadhir ulioko kariakoo,


 
 
picha kwa msaada wa salut 5

No comments: