BREAKING NEWS: LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI WA CUF
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza
rasmi kujiuzulu wadhifa huo na kusema atabakia kuwa mwanachama wa
kawaida.
Akiongea leo Jijini Dar es Salaam Prof. Lipumba
amesema amechukua uamuzi huo kutokana na UKAWA kushindwa kusimamia
makubaliano yao.

No comments:
Post a Comment
thanks