Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa
rumande na kurejea uraiani. Anatakiwa kufika mahakamani Novemba 11
ambapo kesi yake itatajwa tena
HID BENZI alikamatwa wiki iliyopita kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya pamoja na bangi alipokuwa akielekea mbeya kwenye shughuli zake za muziki, tukio hilo lililotokea katika uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere dar es salaam


No comments:
Post a Comment
thanks