Tuesday, 8 April 2014

UKIKUBALI KUFANYA BIASHARA BASI KUWA TAYARI KUPOKEA HASARA, ANGALIA PICHA ZA SHOWROOM ILIYOUNGUA DSM



Duka la kuuza magari lililopo maeneo ya karibu na mlimani city barabara ya SAM nujoma limeweza kutetekea na motot na kusababisha hasara kubwa kwa mliliki wa biashara hiyo, magari zaidi ya 20 yanakadriwa kuungua vibaya na motot ambao chanzo chake akikujulikana kwa haraka

No comments: