Friday, 7 February 2014

BARCELONA YAENDELEZA REKODI YA KUFUNGA MAGOLI ZAIDI YA 100 NDANI YA MSIMU MMOJA

Kwa msimu wa tisa mfululizo klabu ya FC Barcelona hapo jana usiku ilifikisha jumla ya mabao 100 ya kufunga baada ya kuifunga Real Sociadad mabao 2-0 kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la mfalme.

wachezaji 15 tofauti wa timu hiyo wameshirikiana kufunga jumla ya hayo mabao huku,wachezaji 5 kati yao wakiwa tayari wameshafunga zaidi ya mabao 10.
 Leo Messi 19, Pedro 16, Alexis 15, Cesc 12 and Neymar Jr 11



No comments: