Habari ya taoo kwa sasa ni kumhusu bidada wa kuitwa Kajala ambaye leo
amefanikiwa kunasuka katika ile kesi ambayo ilikuwa imemchukulia uhuru wake
ambapo Leo hii amehukumiwa kwenda jela miaka mitano ama kulipa faini ya shilingi
milioni 13 wakati Mumewe, Faraja Chambo akipata hukumu kubwa zaidi ya kwenda
jela miaka 7 ama kulipa faini ya shilingi milioni 200 Relief na Habari nzuri kwa Kajala ilikuja pale wasanii wa Bongo Movie
wapoonyesha kuwa tayari kuchanga hizo pesa za faini kwaajili ya kumtoa mwenzao,
There then ikatokea Story nyingine tamu zaidi baada ya Bi dada Wema Sepetu
kutokea mstari wa mbele na kuamua kulipa mpunga woote huo wa faini mwenyewe,
kitu ambacho kimetafsiriwa kuwa ni upendo na ujasiri mkubwa na kumfanya .Kwa upande mwingine watu wameanza kujiuliza where is Wema getting all that
'Mulla' lakini kwa sasa kilichofanyika tayari kimefanyika (whats done is done)
na Kajala anapumulia uraiani.
Kajala pamoja na muwewe faraja Chambo
walikuwa wanakabiliwa na amakosa matatu ikiwepo kula njama na kuhamisha umiliki
wa nyumba iliyopo Kunduchi Salasala isivyo halali na kutakatisha fedha
haramu.
Thank you for taking your time to find out more about the blog. This blog is your number one event, sports, advertisement and entertainment news. Welcome to an Entertainment revolution. Advertisement gate way and promotion as well, STAY ON IT ENJOY CALL / SMS +255 686 123425 for more information and any blog assistance
Tuesday, 26 March 2013
KAJALA'S OUT
An Entertainer and the Owner of 60Entertainment who is near by to present TV program on local TV, Current am working with One of the Biggest company
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment