Thursday, 28 March 2013

BREAKING NEWS - MBUNGE AFARIKI DUNIA



Breaking News:Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Taratibu za kuusafirisha mwili kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika

No comments: