Picha za pamoja zikiwaonesha LINAH na AMINI wakati wa tamasha la EPIC BSS siku ya fainali ambapo walionekana pamoja wakiwa na furaha na hata walipopanda jukwaani pia hali iliendelea kuwa ivyo ivyo, je Tutegemee nini kutoka kwao baada ya wawili hao kuonekana wakiwa katika hali iyo


No comments:
Post a Comment
thanks