Huyu alionekana kufurahia jinsi alivyovaa uku akiwa ajui kama alikuwa mtupu kiasi cha nguo zake za ndani kuonekana, nisingestajabu kama angekuja uchi kabisa kwani kwa nguo alizovaa alionekana dhhiri yupo uchi, mungu inusuru nchi yetu na mavazi yetu,
huyu nae alikuwa katika kivasi kizuri cha ajabu lakini kwa tamasha kama la miss tanzania ni kweli ili vazi lilitakiwa kuwepo kutokana na hadhi yake,
No comments:
Post a Comment
thanks