Mcheza show wa kundi la KANGAMOJA a.k.a KANGA MOKO LAKI SIO PESA alizua tafrani baada ya kuamua kuvua nguo hadharani wakati akifanya onyesha lake katika kumbi moja ya starehe, tukio hilo lilitokea katika hali ya kustaajabu na kufanya watu wabaki mdomo wazi uku wakitamani kuendelea kumuona akisaulu kiwalo kilichobakia
No comments:
Post a Comment
thanks